Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, April 28, 2013

SIMBA YAITAFUNA POLISI MOROGORO 2-1

Mrisho Ngassa (kushoto) wa Simba, akijaribu kumpiga chenga Rogers Gabliel wa Polisi Morogoro wakati timu hizo zilipopambana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

 Mashabiki wa Simba wakiwa wachache kwenye jukwaa lao wakifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom kati ya timu yao hiyo na Polisi Morogoro, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. (PICHA NA KASSIM MBAROUK)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...