Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, April 22, 2013

HUDUMA ZA NSSF ZAVUTIA WENGI KATIKA MAONESHO YA HUDUMA ZA HOSPITALI YA MUHIMBILI


 Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mh.Ummy Mwalimu akimkabidhi cheti Ofisa Uhusiano Huduma kwa wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Maife Kapinga wakati wa hafla ya kufunga Maonesho ya Huduma za Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es salaam.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dk. Merina Njelekela akisoma hotuba yake wakati wa kufunga maonesho ya Huduma za Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam.
  Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mh.Ummy Mwalimu akisoma hotuba yake wakati wa hafla ya kufunga Maonesho ya Huduma za Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es salaam.
Watu mbalimbali wakipata maelezo ya huduma za NSSF ikiwemo Fao la matibabu.
 Baadhi wa wadau waliojitokeza katika maonesho hayo.
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mh.Ummy Mwalimu akiweka sahihi katika kitabu cha wageni wakati alipotembeklea banda la NSSF. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dk. Merina Njelekela.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...