Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, April 28, 2013

WANAFUNZI WA VYUO VIKUU 13 WASHIRIKI KWENYE WARSHA YA MAANDALIZI YA AJIRA PINDI WAMALIZAPO MASOMO YAO


 Mkurugenzi wa Masoko wa chama cha wanafunzi wa vyuo vikuu(AISEC)Bw.Elvis Kashaija,akizungumza na waandishi wa habari juu ya maandalizi na umuhimu wa vijana kushiriki katika warsha ya 14 inayohamasisha vijana kujiandaa katika ajira pindi wanapomaliza masomo yao ya  vyuo vikuu. Warsha hiyo ilidhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika ukumbi wa Nkuruma,Chuo kikuu cha Dar es Salaam.
 Baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu 13 walioshiriki katika warsha ya 14 inayohamasisha vijana kujianda katika ajira pindi wanapomaliza masomo yao ya  vyuo vikuu,warsha hiyo ilidhaminiwa na Vodacom Tanzania na kufanyika katika ukumbi wa Nkuruma,Chuo kikuu cha Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...