Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, April 29, 2013

SHIWATA YAONESHA VIPAJI VYA WASANII Star Light Hotel

Wasanii wa kikundi cha sanaa cha Kaole wakishangilia wakati msanii mwenzao Chuma Selemani 'Bi Hindu' alipokuwa akisalimia na kutoa ujumbe kwa watu waliofika katika tamasha hilo lilili andaliwa na

Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA)

lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa

Star Light Hotel picha na www.burudan.blogspot.com

Wasanii wa kikundi cha Kaole wakifatilia matukio mbalimbali wakati wa maonesho hayo kutoka kushoto ni Chuma Selemani 'Bi Hindu' Fatma Rajabu' Kidide' Zuhura Adamu 'Mwana mtama' na Rajabu Miromo' Fakh'

picha na www.burudan.blogspot.com

Wasanii wa kikundi cha Kaole wakifatilia matukio mbalimbali wakati wa maonesho hayo kutoka kushoto ni Chuma Selemani 'Bi Hindu' Fatma Rajabu' Kidide'
Mwenyekiti wa

Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Cassim Taalib kulia akifatilia maonesho hayo

Msanii wa Kikundi cha Kaole Chuma Selemani 'Bi Hindu' akizungumza
Wasanii wa kindi la Tae kwond Vingunguti youth wakifanya mchezo wa Kun Fuu wakati wa onesho hilo
Wapiga ngoma wa kikundi cha Tan hope Group wakifanya vitu vyao
Wasanii wa  ngoma wa kikundi cha Tan hope Group wakicheza wakati wa tamasha hilo tamasha hilo lilili andaliwa na

Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA)

lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa

Star Light Hotel picha na www.burudan.blogspot.com

Wasanii wa  ngoma wa kikundi cha Tan hope Group wakicheza wakati wa tamasha hilo tamasha hilo lilili andaliwa na

Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA)

lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa

Star Light Hotel picha na www.burudan.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...