Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, April 14, 2013

KAMERA YA LUKAZA BLOG KUTOKA UFUKWENI MWA BAHARI YA HINDI SUNRISE KIGAMBONI


 Vijana Wa Ulinzi wakimzuia Mfanyabiashara mdogo mdogo katika fukwe za bahari ya Hindi katika Fukwe za Sunrise Kigamboni
 Biashara ikiendelea katika fukwe za Sunrise
Haya sasa Sijui ndio hirizi mkoni hapo au mbwembwe tu
Wakijivinjari na kupunga upepo mwanana kutoka bahari ya hindi

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...