Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, April 25, 2013

HIVI NDIVYO LOWASSA ALIVYOPOKEA BARAKA ZA MUNGU IRINGA
Waziri mkuu  mstaafu Edward Lowassa akisalimiana na  mmoja kati ya  watenda kazi  wa OPC Sifa Kulanga baada  ya  kuwasili uwanja  wa Ndege  Nduli
Askofu Dkt Boaz Sollo akimkabidhi tuzo ya  heshima waziri mkuu  mstaafu  Edward Lowassa mjini Iringa jumapili  iliyopita


 Mfanyakazi  wa radio Overcomers Adela  kivamba  akisalimiana na  Lowassa
 Kiongozi  wa  watuma  salam mkoa  wa Iringa Baba Mwadhan akisalimiana na Lowassa
 Mwanahabari  wa Minja  akisalimiana na Lowassa
 Mtangazaji  wa radio  Overcomers Fm Denis Nyali akisalimiana na Lowassa
 Lowassa  akisalimiana na waumini  wa OPC katikati ni Tresia Mapiu aliyepata ajali mbaya ya piki piki  wakati akitoka kumpokea Lowassa

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...