Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, April 22, 2013

YANGA YAICHAPA JKT RUVU 3-0


Mshambuliaji wa JKT Ruvu, Mussa Mgosi akimtoka beki wa Yanga Mbuyu Twite katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliuofanyika lleo kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam. Yana ilishinda 3-0. (Picha na Habari Mseto Blog)
 Shabiki wa Yanga akichukua matukio ya uwanjani.
Mashabiki wa Yanga wakishangilia ushindi wa timu yao huku wakiwa na mfano wa kombe la Ligi Kuu.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...