Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, April 28, 2013

EXTRA BONGO YAZIDI KUWABAMBA MASHABIKI NDANI YA MEEDA SINZAMkurugenzi wa bendi ya Extra Bongo, Ally Choki, akiimba mbele ya mashabiki wake (Hawapo Pichani) ndani ya Ukumbi wa Meeda sinza jana Usiku wakati bendi yake ilipokuwa ikishambulia pande hizo.
Kushoto ni mwimbaji mahiri wa bendi ya Extra Bongo, Athanas, akiwa na Mwimbaji pekee wa kike wa bendi hiyo, Khadija Mnoga a.k.a "Kimobitel" ambaye anatamba kwa sasa na wimbo wake wa "Mgeni" wakishoo luv mbele ya kamera yetu ndani ya ukumbi wa Meeda Sinza jana usiku wakati Bendi yao ilipokuwa ikitumbuiza pande hizo.
Kushoto ni mmoja wa marapa bora wa muziki wa dansi Totoo Ze Bingwa, alipopanda jukwaa hilo kusalimiana kisanii, hapa  akirap ndani ya Meeda sinza wakati Bendi anayopigia mzigo Extra Bongo ilipokuwa ikitumbuiza pande hizo na kulia ni Banza Stone a.k.a Generale akimpa big up.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...