Mshambuliaji mpya wa Simba, Robert Ssentongo (kulia) akishangilia bao aliloifungia timu yake na Juma Jabu dhidi ya Atraco ya Rwanda katika mechi ya Kombe la Kagame iliyochezwa kwenye Uwanja wa Nyamirambo, Kigali, Rwanda. Simba ilishinda bao 1-0. (Picha kwa Hisani ya CECAFA)
No comments:
Post a Comment