Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, May 28, 2010

WAREMBO WA MISS DAR CITY CENTER HADHARANI


WAREMBO BOMBAAAAAAAAAA
warembo watakaowania taji la miss da cicy center hawa hapaaaSaidi kilumanga Mimi na mabinti damu damu ahaa jamani nipo kazini hapa stoll tu kuli mtu ana wake nyumbani kwake
Salma Mwakalukwa
umri,21
anaishi,kinondoni
elimu,chuo
anapenda,kuwa mwanamitindo
chakula,nyama


Nancy Murray
umri,20
anaishi,Temeke
elimu chuo
anapenda,kuwa mwanamitindo
chakula,biriani

jina,Anna Bella
umri,21
anaishi,upanga
Elimu chuo
anapend Urembo
chakula,ugari samaki


Neema Jacobo
miaka.20
anaishi, Temeke
Elimu,chuo
Anapenda Urmbo
Chakula Chipsi

baadhi ya warembo watakaowania taji la Dar cite center wakiwa katika mapozi tofauti tofayti

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...