Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, May 26, 2010

ZAIN YAZINDUA HUDUMA YA KULIPIA BIMA KUPITIA ZAP
Kulia ni Meneja Masoko wa Real Insurance Amani Boma akiongea na waandishi wa habari juu ya huduma mpya za ZAP ambapo Zain kwa kushirikiana na kampuni ya bima ya Real Insurance wanawawezesha wateja wao kuweza kulipia huduma za bima kupitia mfumo wa Zap katikati ni Afisa Mtendaji wa Real Insurance George Sithole na mwingine ni Mkurugenzi wa Huduma za Wateja wa Zain Tanzania Irene Madeje Mlola.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...