mazoezi ya ngumi yanenderea mpaka kieleweke
Wachezaji wa timu ya Taifa ya ngumi wakifanya mazoezi leo katika uwanja wa ndani wa Taifa DAr es salaam kujiandaa na mashindano mbalimbali
Kocha wa Timu ya ngumi ya Taifa kikosi B Mazibwo Alli kushoto akiwaelekeza mabondia walioingia katika kambi ya timu ya taifa kwa ajili ya mazoezi ya kujiandaa na mashindano mbalimbali ya kimataifa
No comments:
Post a Comment