Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, July 10, 2010

CHANJO YA VITAMIN .A. NA KUZUIA MINYOO KWA WATOTO MWISHO KESHO


Baadhi ya kinamama na watoto wakisubili kupatiwa chanjo kwa watoto wakati wa utoaji wa chanjo katika hospital ya Amana Ilala Dar es salaamOfisa muhuguzi wa hospital ya Amana Bi.Tabea Lukindo (kulia) akimnywesha chanjo mtoto Ekla Moses Dar es salaam leo wakati wa utoaji chanjo ya vitamin.A na ya kuzuia ugojwa wa minyoo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...