Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, July 11, 2010

MCHEZO WA POOL NGAZI YA MKOA KUANZA KUTIMUA VUMBI 13 JULAY
Mchezaji wa mchezo wa pool wa timu ya ngubwene, Daniel Yakobo, akijitaalisha kupiga mpira wakati wa mazoezi ya mwisho yaliyofanyika katika klabu hiyo iliyopo kimara matangini Dar es salaam kabla ya mashindano ya mkoa yatakayoanza kesho kulia ni Jojamuma Rapheal yanayodhaminiwa na Safari lager

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...