Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, July 16, 2010

KONYAGI WATOA MSAADA KWENYE WIKI YA NENDA KWA USALAMA


Meneja wa Fedha katika kampuni ya TDL watengenezaji wa Konyagi Bw. Nassoro akikabidhi hundi ya Shs. Laki Tano kama msaada wa wiki ya nenda kwa Usalama barabarani, Kamanda wa Usalama Barabarani Afande Vitus.Wengine katika picha ni Waandishi wa Habari , Maofisa wa Polisi na Wafanyakazi wa TDL.Leo Asubuhi.Msaada huo utasaidia maandalizi ya wiki ya nenda kwa Usalama inayotarajia kufanyika mapema mwezi ujao.
Akizungumza wakati wa kupokea msaada huo Kamanda kikosi cha Usalama bararani kanda maalum ya DSM Afande vitusi amesema kuwa kwao ni faraja kubwa,hivyo amewataka wengine waige mfano huo.picha na prhabari

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...