Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, July 20, 2010

ALLY ZAWADI WA IFM KUWANIA UDIWANI KWA TIKETI YA CCMNdugu Ally Zawadi {kulia} ambaye ni mhadhiri(Lecturer) wa chuo cha usimamizi wa fedha {IFM} akichukua fumu ya kuwania kiti cha udiwani kata ya Magomeni wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam leo mchana.

Ngugu Ally Zawadi akisaini kitabu maalumu mara baada ya kukabidhiwa fomu katika ofisi za CCM kata ya Magomeni mapema mchana wa leo.{Picha:Victor Makinda}

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...