Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, July 15, 2010

ROUND ABOUT KUJENGWA HAPA


Mafundi wa Ujenzi wa barabara wa Kampuni ya Halson Contractor ya Jijini, Dar es Salaam, wakibomoa sehemu ya ukuta wa barabara ya Azikiwe mbele ya jengo la Mkapa Tower Posta Mpya jana, kwa ajili ya kujenga Mzunguko ‘Round About’ katika eneo hilo ili kurahisisha kwa magari yanayotumia njia hiyo ambayo awali yalikuwa yakizunguka katika mzunguko wa Askari na kusababisha foleni kubwa ili kuingia eneo hilo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...