Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, July 11, 2010

DR HUSSEIN MWINYI APOKEA MSAADA WA MADAWATI KUTOKA ZAINWaziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein Mwinyi (kushoto) akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kupokea msaada wa Madawati 100 kutoka kampuni ya Zain Tanzania hivi karibuni jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kusaidia baadhi ya shule za msingi jimboni kwake. Kulia ni Meneja wa Huduma za Jamii wa Zain Tunu Kavishe.


Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein Mwinyi (kushoto) akipokea msaada wa Madawati 100 kutoka kampuni ya Zain Tanzania hivi karibuni jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kusaidia baadhi ya shule za msingi jimboni kwake. Kulia ni Meneja wa Huduma za Jamii wa Zain Tunu Kavishe.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...