Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, July 11, 2010

YANGA YAENDELEA NA MAZOEZI YA NGUVUMshambuliaji wa kutumainiwa Nsa Job ambaye alikuwa akiichezea timu ya Azam mwaka janasasa anatafuta namba kwenye timu ya Yanga Africans Dar es Salaam akimtoka mchezaji Chacha Marwa ambaye anatafuta namba kwenye timu hiyo kongwe wakati wa mazoezi yakutafuta vipaji vipya yaliyofanyika Uwanja wa Uhuru jana chini ya Kocha Papic vijana wengi walijitokeza kwenye mazoezi hayo. kulia ni mchezaji kutoka miembeni ya Zanzibar Mohamedi Hussein
Kocha wa YANGA PAPIC akiongea na wachezaji kutoka nchini mbalimbali ambao wapo kwa ajili ya majaribio katika uwanja wa uhuru

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...