Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, July 11, 2010

WAANDISHI WATAABIKA KWENYE MKUTANO MKUU WA CCM DODOMA


Mwandishi wa gazeti la jambo leo Said Mwishehe akisaka nyumba ya kulala wageni eneo la njeya mji umbali wa KM 10 katika hotel ya Twiga ambako pia vyumba kama hivi ,ilibidi yeye na wenzake kupanga mapokezi kwa shilingi 30,000 kila mmoja kwa usiku mmoja ila walimbiwa kutoka ni saa 12 asubuhi kwa kuwa mwenye Hotel asiwakute hapo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...