Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, July 15, 2010

WASANII WA BLAZIL WAJA KUCHEZA SAMBA NCHINI


waandishi wa habari wakiwa na wana samba wa blazil
mzee wa fullshangwe akiwa na wadau


Samba jinsi linavyochezwa
Wasanii wa kundi la Stone town capoeira kutoka Zanzibar wakipiga ngoma kushoto ni Othumani Bakari, Muheet Khalid na Theneyan Mbaraka, wakati wa mazungumzo na waandishi wa habari Dar es salaam juu ya ujio wa kundi la muziki wa samba kutoka Blazil litakalofanya maonesho ya wazi hapa nchini

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...