Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, July 30, 2010

TBS YATOA VYETI VYA UBORAMkurugenzi wa Shirika la Viwango Nchini Bw. Charles Ekelese akimkabidhi cheti Mkurugenzi Mtendaji wa Mariet Natural Bi. Marietha Putika
Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Nchini Bw. Charles Ekelese akimkabidhi cheti cha ubora Bi. Emalita Daudi wa Rukwa Food Processors
Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Nchini Bw. Charles Ekelese akizungumza kabla ya kugawa vyeti vya ubora vinavyotambulika na TBS nchini kulia ni Mkuu wa Idara ya Udhibiti Ubora Bi. Kazie Mwanga Mbwambo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...