Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, July 18, 2010

KUMEKUCHA UCHAGUZI WA YANGA KUFANYIKA LEO JIJINI DAR ES SALAAM


Mjumbe wa kamati ya uchaguzi ya klabu hiyo Philemon Ntahilaja amesema maandalizi yote kwa ajili ya uchaguzi huo yamekamilika na ametoa ufafanuzi kuhusu kadi za uanachama zitakazotumika katika uchaguzi kuwa ni kadi mpya

Francis Kifukwe akizungumza na waandishi wa habari kuusu makakati yake ya kuleta sakos yanga na maendeleo kwa kipindi cha miezi 6 tu endapo wana yanga watampa nafasi kuingia madarakani


gombea wa nafasi ya Uwenyekiti wa Yanga, Lloyd Nchunga (kulia) akizungumza na waandishi wa habari na kueleza mikakati yake ya kuwashawishi wanachama wa klabu hiyo kumchagua kushoto ni msaidizi wake, Sprian Musiba
Mgombea nafasi ya makamu mwenyekiti yanga DAVIS MOSHA akipeana mkono na AYUB NYENZI aliyejitoa kugombea nafasi

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...