Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, July 17, 2010

MADA MAUGO RASHIDI MATUMLA WAPIMA UZITO KWA AJILI YA PAMBANO LAO KESHO


MATUMLA VS MAUGO
Mabondia RAshidi Matumla kushoto na Mada Maugo wakitambiana mbele ya waandishi wa habari DAr es salaam kabla ya kupima kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika leo katika ukumbi wa PTA limedhaminiwa na Kampuni ya Business Times ambao ni wachapishaji wa magazeti ya Majira, Spoti Starehe, Business Times na Dar leo na wamiliki wa kituo cha Redio cha 100.5 Times FM na Kampuni ya Uchapishaji ya Business Printer, PSI na Konsalt
waandishi wa habari wakifatilia tukio la upimaji uzito kushoto ni Mwali Ibrahimu, Priscar Paul na Adorfu Bruno
bondia wa Ashanti josefu richad akipima afyaa

Bondia Mada maugo (kulia) akipima uzito Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wake na Rashidi Matumla utakaofanyika PTA sabasaba ambapo limedhaminiwa na Kampuni ya Business Times ambao ni wachapishaji wa magazeti ya Majira, Spoti Starehe, Business Times na Dar leo na wamiliki wa kituo cha Redio cha 100.5 Times FM na Kampuni ya Uchapishaji ya Business Printer, PSI na Konsalt

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...