Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, July 11, 2010

WACHEZAJI WA ASHANTI BOXING WAJIFUA UFUKWENI KWA AJIRI YA KUWASINDIKIZA MADA NA MATUMLA
mazoezi si mchezoo


baadhi ya watu mbalimbali walikuwepo kuweka fiti miili yao

mambondia wa timu ya Ashanti ya Ilala Dar es salaam wakijifua ufukweni leo kushoto ni Ramadhani Fundi na Josephe Richard


Mabondia wa timu ya mchezo wa ngumi wa Ashanti boxing Klabu Josephe Richard Mnyama na Iddy Ramadhani wote wa Klabu ya Ashanti watacheza katika utangulizi wa mpambano wa Mada Maugo na Rashidi Matumla

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...