Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, July 21, 2010

KAMPUNI YA ZAINI KUBADIRISHWA JINA KUWA BHARTI AIRTELbaadhi ya wapiga picha walikuwepo kusikia ujio wa kampuni mpya ya simu
Mkuu wa kitengo cha mawasiliano wa Zain Bi. Beactice Mallya akizungumza na waandishi wa habari kuusu kubadilishwa kwa kampuni ya Zain kuwa Bharti Airtel Dar es salaam wengini ni Mkurugenzi Mtendaji wa bharti airtel Bw. Sam Elangallor,Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo Bw. Manoj Kohli na ofisa wa Kampuni hiyo Bw.Jayant Khosla

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...