Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, July 16, 2010

TYSON ATUNUKIWA TUZO ITALY


Mike tyson atunukiwa tuzo ya Ghirlande D'Honneur huko milan nchini Italy, tyson
ameonekana kuwa mwepesi zaidi kwani amepungua uzito kiasi cha kuonekana katika namna ya mvuto wa kipekee!!

akipewa tuzo hiyo na Franco Ascani , iron tyson ameelezewa kuwa ametoa mchango mkubwa katika kuifanya
mchezo wa ngumi upendwe na kuwa maarufu katika miaka ya themanini ambapo tayari muhamadi ali alikuwa amestaafu.

Ameelezewa kuwa katika kipindi hicho tyson aliweza kuwa bingwa wa ngumi wa dunia kwa miaka mitatu na miezi miwili yaani katika kipindi cha miaka (1986- 1990) na pia katika mwaka 1996 aliweza kuwa bingwa wa ndondi wa dunia kwa kipindi cha miezi 7

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...