Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, July 7, 2011

AIRTEL YATOA MSAADA WA SIMU 60 NA MODEMU 60 KWA JESHI LA POLISI


Mwakilishi wa Inspekta Jenerali wa Polisi, Kamishna Paul Chagonja (kushoto) akipigiana saluti na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya simu ya Airtel, Chiruyi Walingo baada ya kukabidhiwa msaada wa simu 60 na modemu 60 kwa ajili ya matumizi ya mawasiliano ya jeshi hilo. Hafla hiyo imefanyika leo Makao Makuu ya Jeshi la Polisi.
http://richard-mwaikenda.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...