Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, July 2, 2011

NDC nao wapo katika maonesho ya Sabasaba


Shirika la Taifa la Maendeleo nalo ni miongoni mwa mashirika yaliyopo katika viwanja vya Maonesho ya 35 ya Biashara ya Kimataifa yanayo endelea katika Viwanja vya Maonesho vya Mwalimu Julius Nyerere barabara ya Kilwa Dar es Salaam.
Hawa ni baadhi tu ya staff wa NDC wanaotoa huduma ndani ya maonesho hayo katika banda lao ambali lipo mkono wako wa kulia mara tu ukiingia katika lango kuu.
Pia katika banda la NDC ipo kapuni ya ETG na pivchani ni Banwari Jhawar ambaye ni Mratibu wa Agro Input akielezea bidhaa mbalimbali wanazoaiza hasa katika kuhamasiha Kilimo Kwanza.
Kampuni ya ETC Agro wakiwa na matrecta yao ya Mahindra nao ni wadau wa NDC na wapo katika banda hilo.
Ofisa Mawasiliano Mwandamizi wa NDC Neema Mbuja akionesha Kaa la Mawe ambalo ni moja ya bidhaa inayo zalishwa na moja ya makampuni yaliyochini ya NDC.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...