Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, July 21, 2011

Hatimaye G mwanaaaa akamilisha ndoto yake

Hapo chachaaaa mi chichemiii, hatimaye G avuta Jiko ndani


Gervas Mbwiga aka G mwana weekend iliyopita alitimiza ndoto yake ya kumuoa Kipenzi chake cha siku nyingi sanaaa na MTANGAZAJI maarufu wa kipindi cha ‘Mitikisiko ya Pwani’ kinachorushwa hewani kupitia kituo cha radio cha Times FM, Khadija Shaib ‘Dida. Sherehe hizo zilifanyika ukumbi wa New Msasani Club jijini Dar es Salaam, na kuhudhuriwa na watu kibao kutoka pande mbalimbali za jiji.

muda wa kukata keki ulifika


Msosi sasa.. Bwana harusi na bi harusi wakilishana keki kwa mapenzi.


Picha kwa hisani ya global publisher

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...