Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, July 10, 2011

tigo changia elimu


Ofisa Uhusiano wa Tigo, Jackson Mmbando (kulia) akizungumza wakati
wa uzinduzi wa kampeni ya Tigo Tuchange yenye lengo la kuchangia elimu jijini Dar es Salaam
mwishoni mwa wiki. Tigo itatumia fedha
itakayopatikana kwa wateja wake walionunua muda wa hewani kwa kupitia
huduma ya Tigo Rusha kati ya saa tatu hadi nne asubuhi katika siku
hiyo ya kuchangia maendeleo ya elimu nchini.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...