Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, July 2, 2011

SHEIKH YAHAYA HUSEIN AFANYIWA 40 YA KUFA KWAKE LEO

Sheikh, Mkuu, Mufti Issa Shaaban Simba (kushoto) na Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum wakisikiliza qllhan zilizokuwa zikisomwa na Masheikh wa nje na ndani ya mipaka ya Tanzania wakati wa duwa ya alobaini kumuombea aliyekuwa mtabiri maarufu Afrika Mashariki, Sheikh Yahaya Hussein
Dr Emad Rabee Ahmad Mohamed kutoka chuo cha kiislam Egypt akisoma wakati wa alobaini ya kumuombea aliyekuwa mtabiri wa Afrika Mashariki Sheikh Yahaya Hussein kushoto ni Dr Ahmad Mahmood Abdellateef wa tatu kutoka kulia ni Mwenyekiti wa ISTIQAAMA MUSLIM COMMUNITY NCHINI Saleh Omar Saleh,Usamah Mahmood Ismail na Motamed Gomaa Mursiy

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...