Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, July 10, 2011

Bonanza La Warembo Wa Reds Na Waandishi Wa Habari Wanawake Leo

Waandishi wa Habari (kulia na warembo wanaowania taji la Mis Temeke wakiwa katika mpambano mkali wa kuvuta kamba leo jioni katika ufukwe wa Bahari ya Hindi kwenye Hotel ya Cine Club, katika bonanza lillioandaliwa na Bia ya Reds ambalo liliwakutanisha warembo wanaoshiriki Mashindano ya urembo katika Wilaya za Temeke, Ilala na Kinondoni na waandishi wa habari wanawake. Katika mchezo huo waandishi wa habari waliwashinda warembo hao.

Da' Secy, Mwandishi na Mtangazaji wa Radio Uhuru akijimwaga

Mwandishi, akisakata muziki kwa mtindo wa Kiduku

Warembo wakiserebuka

Baadhi ya Waandishi wa habari wakiwa wapepozi mbele ya Kamera ya mjengwablog.

Warembo wakiwa wametia pozi leo mchana, Kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi. Picha zote na Victor Makinda.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...