Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, July 2, 2011

Zantel Yazinduwa Kituo cha Intaneti Mbagala,


Waziri Mawasiliano, Sayansi na Teknologia Mhe. Makame Mbarawa akikata utepe kuzinduwa kituo kipya cha kutolea huduma na mafunzo ya intaneti bure cha Zantel ZNET, kilichopo eneo la Mbagala Zakem. Hiki ni kituo cha kwanza na pekee nchini kutoa mafunzo ya kompyuta na intaneti kwa wanafunzi bure. Kulia ni Afisa Mkuu wa Masoko wa Zantel Norman Moyo.
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknologia Mhe. Makame Mbarawa akitumia mtandao wa intaneti kwenye kituo kipya cha kutolea huduma na mafunzo ya intaneti bure cha Zantel ZNET, kilichopo eneo la Mbagala Zakem. Wakimuangalia ni Msimamizi wa kituo hicho Wahindi Malekela (kati) na Afisa Mkuu wa Masoko wa Zantel Norman Moyo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...