Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Posta Tanzania Bw. Sabasaba Moshingi (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuteuliwa na rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kushika wadhifa huo kulia ni Mwenyekiti wa Bondi wa Benki hiyo Prof.Lettice Kinunda.(Picha na Mpigapicha Wetu)
Mkurugenzi akizungumza leo
No comments:
Post a Comment