Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, July 16, 2011

MKUTANO WA NAPE MJINI MBEYA WAFUNIKA, SITTA, SENDEKA, DK. MWAKYEMBE NA POREFESA MWAKYUSA WAMPA TAFU YA NGUVU


Nape akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Rwandanzovwe mjini Mbeya
Msafara wa pikipiki ukipokea msafara
Wabunge wa mkoa wa Mbeya, Sitta na Nyarandu wakimuongoza Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye kuingia uwanja wa Rwandanzovwe mjini Mbeya kwenye mkutano wa hadhara
Sitta akihutubia katika mkutano huo
Mwakyembe akihutubia kwenye mkutano huo
Nape akicharaza gita wakati wa mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Rwandanzovwe mjini Mbeya
Mbunge wa Simanjiro Ole Sendeka akihutubia
Mwenyekiti wa Wabunge wa mkoa wa Mbeya, Prof Mwakyusa akizungumza. Kushoto ni Nape

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...