Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, July 2, 2011

AMSHA AMSHA , SRENGETI FIESTA MKOANI DODOMA YAFANA NDANI YA UKUMBI WA ROYAL VILLAGE ARE D

Kikosi kazi cha Fiesta katika picha ya pamoja usiku wa leo katika onyesho maalumu la Serengeti Fiesta 2011.

Dully Sykes akiimba jukwaani kwa hisia kali usiku huu ndani ya ukumbi wa Royal Village.


Kama kawaida mashabiki wakiguswa na kufurahi huwa hawana hiana hivyo Dully na yeye akapata kilichochake.

Dully Sykes akikamua jukwaani na kibao chake cha Bongofleva kinachotamba hivisasa.
zaidi tembelea mtandao wa http://bongoweekend.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...