Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, July 21, 2011

Naibu Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya New Habari (2006) Danny Mwakitereko Apata Ajali Jijini Dar


Naibu Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya New habari (2006) Danny Mwakitereko(Pichani) amepata ajali ya gari siku wa kuamkia leo, jijini Dar es Salaam.Amefanyiwa upasuaji wa kichwa katika Taasisi ya mifupa Muhimbili. Hivi sasa yuko ICU Muhimbili kama anavyoonekana kwenye picha hapo juu leo hii.Tumwombee ndugu yetu Mungu amponye haraka ili tuungane naye katika kusukuma gurudumu la maendeleo kwa manufaa ya taifa. By Arodia Journalist, Mtanzania.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...