Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, July 21, 2011

TDL. YAZINDUA MPANGO WA KUMSOMESHA MTOTO WA MKULIMA WA ZABIBU MJINI DODOMA LEO!!


Mmoja kati ya wanafunzi watakao nufaika katika mpango huo. Esthar Mtimila akizungumza na waandishi wa habari kwa kutoa shuklani kwa TDL. Jumla ya wanafunzi 10 watakuwa klatika mpango wa kusomesha na Kampuni hiyo kwa kuanzia.Naibu waziri wa Elimu na mafunzo Philipo Malugo aki salimianana baadhi ya watoto waliofika ktk uzinduzi huo.Nyuma yeke ni Mkurungenzi Mkuu wa Tanzania Distilleries Limited Bw. David Mgwasa

Mkurungenzi Mkuu wa Tanzania Distilleries Limited Bw. David Mgwasa akisoma mpango mzima wa kusomesha watoto wa wakulima wa zabibu

Mkurungenzi Mkuu wa Tanzania Distilleries Limited Bw. David Mgwasa(kushoto) akizungumza na Meneja wake wa Masoko Joseph Chibehe na Mratibu wa mpango huo Fina Mango nje ya Hoteli ya Dodoma baadha ya uzinduzi huo

Baadhi ya wafanyakazi wa Tanzania Distilleries Limited wakifuatilia Uzinduzi huo."AASara Mapozi"Mrema na Mwaigo Mzee wa Arusha.

Bango lililobeba ujumbe

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...