Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, July 1, 2011

TIGO YAENDELEA KUTAMBA MAONESHO YA SABASABA

Msimamizi mkuu wa huduma kwa wateja wa Tigo katika maonyesho ya Sabasaba, Boaz Ikupilika (kulia) akimkabidhi zawadi ya simu ya mkononi mmoja wa wateja wa Tigo waliomtebelea banda hilo Elizabeth Damson akiwa amevaa eleni na mkufu na alivyovibuni mwenyewe kwa kutumia nembo ya Tigo.


Msimamizi mkuu wa huduma kwa wateja wa Tigo katika maonyesho ya Sabasaba, Boaz Ikupilika (kulia) akiongea na waandishi wa habari juu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na Tigo katika maonyesho hayo ya 35 ya biashara yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Afisa Uhusiano wa Tigo Jackson Mmbando.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...