Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, July 2, 2011

Zantel yaja na EPIQ Nation kwa vijana ndani ya Sabasaba


Miongoni mwa makampuni ya simu yaliyopo ndani ya Viwanja vya Maonesho ya 35 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam ni Kampuni ya Simu ya Zantel ambao mwaka huu wanakuja na bidhaa mopya kabisa ya Epiq Nation ambayo ni maalum kwa vijana.
Baadhi ya warembo waliopo katika viwanja vya Zantel kupamba banda hilo ndani ya maonesho. Ni warembo wa Ukweli.
Christabela Bushiri (kulia) na Avitha Jonathan wakila pozi nje ya banda hilo.
Vijana wa kazi waliopo katika banda la Zantel ndani ya maonesho ya Kimataifa ya Biashara. Kutoka kushoto ni Abubakar Ally, Christabela Bushir, Avitha Jonathan na Cescil Mhina wakiwa katika ufukwe wao ndani ya banda. Vijana hawa kwa pamoja wanawakilisha EPIQ NATION ambayo ni bidhaa mpya kwaajili ya vijana.
Abubakar Ally na Avitha Jonathan wakimsikiliza mteja.
Abdalah Khamisi akitoa huduma kwa baadhi ya wateja waliongia katika banda hilo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...