Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, July 14, 2011

WAFANYAKAZI WA NBC WAPATA TUZO YA HESHIMA AWARDS 2011

Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya NBC wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Lawrence Mafuru (wa sita kushoto mstari wa nyuma) katika hafla ya kila mwaka ambayo benki hiyo hukabidhi tuzo mbalimbali kwa wafanyakazi wake bora maarufu kama‘Heshima Awards’ jijini Dar es
.
Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya NBC, Lawrence Mafuru akimkabidhiBi. Anna Leon Mushi tuzo ya ‘Mkurugenzi Mtendaji’ katika hafla ya kila mw aka ambayo benki hiyo ilikabidhi tuzo mbalimbali kwa wafanyakazi wake bora maarufu kama ‘Heshima Awards’ jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...