Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, December 17, 2011

KAMPUNI YA STEPS ENTERTAINMENT YAFUNGA MWAKA KWA KUWAKUMBUKA WASANII WA BONGO MOVE

Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndungulile (kushoto) akimkabidhi cheti Msanii, Jimmy Mponda kwa kutambua mchango wa kazi zake kilichotolewa na Kampuni ya usambazaji ya Steps Entertainment Dar es salaam juzu wakati wa sherehe za kuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka 2012 kwa wasanii wote nchini kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo. Dilesh Solanki na Rajiv Solanki.(Picha na Mpigapicha Wetu)


Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndungulile (kushoto) akimkabidhi cheti Msanii, Mohamed Nice 'Mtunis' kwa kutambua mchango wa kazi zake kilichotolewa na Kampuni ya usambazaji ya Steps Entertainment Dar es salaam juzu wakati wa sherehe za kuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka 2012 kwa wasanii wote nchini kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo. Dilesh Solanki na Rajiv Solanki.(Picha na Mpigapicha Wetu)Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndungulile (kushoto) akimkabidhi cheti Msanii, Jimmy Mponda kwa kutambua mchango wa kazi zake kilichotolewa na Kampuni ya usambazaji ya Steps Entertainment Dar es salaam juzu wakati wa sherehe za kuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka 2012 kwa wasanii wote nchini kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo. Dilesh Solanki na Rajiv Solanki.(Picha na Mpigapicha Wetu)


Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndungulile (kushoto) akimkabidhi cheti Msanii, Singo Mtambalike kwa kutambua mchango wa kazi zake kilichotolewa na Kampuni ya usambazaji ya Steps Entertainment Dar es salaam juzu wakati wa sherehe za kuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka 2012 kwa wasanii wote nchini kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo. Dilesh Solanki na Rajiv Solanki.(Picha na Mpigapicha Wetu)
No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...