Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, December 14, 2011

MASHINDANO YA CASTLE TAIFA CUP YAENDELEA KWA SHAMRA SHAMRA ZA KIUSHINDANI MKUBWA JIJINI DSM.

Mchezaji wa mpira wa kikapu wa timu ya Mkoa wa Mbeya,Hamphrey Mwakatundu (kulia )akijaribu kumpita beki wa timu ya Mara, Mussa Mwambije wakati wa mashindano ya mchezo huo ya Castle Litle Taifa Cup yanayoendelea Uwanja wa Leaders Dar es Salaam.
Mchezaji wa mpira wa kikapu wa timu ya Mkoa wa Mbeya akirajibu kuwapita mabeki wa timu ya Mara wakati wa mashindano ya mchezo huo ya Castle Litle Taifa Cup yanayoendelea Uwanja wa Leaders Dar es Salaam.Akijaribu kuwatoka mabeki
Mchezaji wa mpira wa kikapu wa timu ya Mkoa wa Mbeya,Hamphrey Mwakatundu na mchezaji wa timu ya Mara,Mussa Mwambije wakiwania mpira wakati wa mashindano ya mchezo huo ya Castle Litle Taifa Cup yanayoendelea Uwanja wa Leaders Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...