Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, December 20, 2011

SKENDO YA UMALAYA MASTAA WA MUVI 2011
ZIKIWA zimebaki siku 12 mwaka wa 2011 ufutike, Ijumaa Wikienda linazindua ripoti kamili ya skendo za umalaya kwa baadhi ya mastaa wa kike wa tasnia ya filamu Bongo, shuka na mistari.Mara kadhaa magazeti ya Global Publishers yamekuwa yakiripoti ufuska unaofanywa na mastaa hao na wakati mwingine kuingia kwenye mgogoro nao wakidai wanasingiziwa, lakini sasa upepo umebadilika.WENYEWE WAANIKANAMjadala unaochukua kasi mithili ya moto wa kifuu katika ulimwengu wa mastaa wa filamu ni kauli za Irene Pancras Uwoya na Wema Isaac Sepetu waliowatuhumu wenzao kujiuza au kuuzwa laivu kwa wanaume, tena kwa bei cheee.


HIKI NDICHO ALICHOKISEMA UWOYAKwa mujibu wa Uwoya, limekuwa ni jambo la kawaida kufuatwa na kuambiwa kuwa kuna mtu…


1 comment:

  1. http://naturalpay.com/?ref=NASMILETZ

    tembelea hapa na ujiunge ili uanze kulipwa kila mwisho wa mwezi....sio stori ni kweli kabisa

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...