Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, December 28, 2011

NETIBOLI HIYO ZANZIBAR KUSHIRIKI KOMBE LA MAPINDUZI


T


Timu ya netiboli inayounda kikosi cha timu ya Taifa inaondoka kesho kuelekea visiwani ZANZIBAR kushiriki mashindano ya kombe la Mapinduzi ambapo kikosi hicho kitakuwa chini ya kocha MARY PROTAS na kocha kutoka TANZANIA VISIWANI.Baadhi ya timu zilizoambwa kushiriki mashindano hayo ni ZAMBIA, BOTSWANA, MALAWI, NAMIBIA ,KENYA na UGANDA.Mjumbe wa kamati ya utendaji wa CHANETA MWAJUMA KISENGO amesema timu hiyo itafanya vizuri kwani ndiyo timu iliyoshiriki mashindano ya ALL AFRICANS GAME nchini MSUMBIJI.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...