Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, December 15, 2011

KOMBE LA WAITARA KUANZA DISEMBA 17 VIWANJA VYA GOFU LUGALO


Bia ya Tusker malt lager kwa mara nyingine tena inatukutanisha na kinyangayilo cha kombe la Waitara katika viwanja vya mchezo wa Golf lugalo siku ya jumamosi tarehe 17 mwezi December 2011. Kombe hili litachezeshwa maalum kwa kusherehekea miaka 5 ya maendeleo ya uwanjaiwa Golf Lugalo pamoja na kumbukumbu ya miaka 50 ya uhuru wa Tanzania.

Kumbuka shindano hili la mchezo wa golf limedhaminiwa na bia ya Tusker Malt lager

HAIUZWI KWA WALIO CHINI YA UMRI WA MIAKA 18.TAFADHALI KUNYWA KISTAARABU

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...