Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, December 24, 2011

RASHIDI MATUMLA NA MANENO OSWARD WAPIMA UZITO LEO KWA AJILI YA MPAMBANO WAO KESHO


Rashidi Matumla na Maneno Osward WAkipima uzito leo
Mratibu wa pambano la Ngumi za kulipwa, Shabani Adios 'Mwayamwaya'
(katikati), akiinua mikono ya mabondia,Maneno Osward 'Mtambo wa Gongo'
kushoto na Rashidi Matumla 'Snake Man', baada ya kupima uzito leo, kwa
ajili ya pambano lao, litakalofanyika kwenye Ukumbi wa Helnken Mtoni
Kijichi, Dar es Salaam siku ya Xmasi. (Picha na
www.superdboxingcoach.blogspot.com)
Mratibu wa pambano la Ngumi za kulipwa, Shabani Adios 'Mwayamwaya'
(katikati), akiwashuudia mabondia,Maneno Osward 'Mtambo wa Gongo'
kushoto na Rashidi Matumla 'Snake Man', wakitunishiana misuli baada ya
kupima uzito leo, kwa ajili ya pambano lao, litakalofanyika kwenye
Ukumbi wa Helnken Mtoni KIjichi, Dar es Salaam siku ya Xmas. (Picha na
www.superdboxingcoach.blogspot.com)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...