Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, December 10, 2011

HONGERA MDAU WA MSONDO NA MNAZI WA SIMBA KIPUKUSWA KWA KUMEREMETA


MWANACHAMA maarufu wa Simba Kipukuswa akifurahi na mkewe mara baada ya kufunga ndoa hivi karibuni
Waalikwa wakipata Kipunga
Hapa wakikata keki ya harusi

Upinzani Uwanjani Bana nje ya hapo ni kushirikiana kama kazi, hapa wadau wa Yanga wakimtuza Bwn Harusi jezi za Yanga, ilikuwa raha ya aina yake, sasa sijui kaka Kip utaivalia wapi hiyo, au utampa wifi Hahaha.Kila la heri maharusi na mwenyezi mungu awatangulie katika kila jambo, Inshallah.
PICHA ZOTE NA MICHUZI BLOG

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...