
Mmoja ya wahereheshaji akigawa zawadi mbalimbali leo

Msanii wa Free Stair Ashiraf Adam akifanya makamuzi ya ke katika viwanja vya coco leo

makamuzi yakiendelea

zawadi kibao kwa watija wa Tigo

Msanii akitoa burudani si mchezo

Burudani zinaendelea

burudan mwanzo mwisho kesho ndio funika bovu ndani ya coco beach kiingilio ni miguu yako tu usikose

burudani kwa watu wanaopenda kucheza kwa ajili ya kuonesha umaili wao

mambo ya kiduku kama kawa

kiduku

watu kibao walikuwepo

watoto wakishindana kupuliza maputo ya tigo

burudani zilitolewa si mchezo

huduma za kila aina kutoka tigo zilikuwepo
No comments:
Post a Comment